Mshahara upi tena maana tarehe hizi sio za mshahara ni tarehe za kuchapa kazi kumkopesha tajiri nguvu, au wewe unafanya kazi wapi, baa gani, hoteli gani, au nyumba ya nani
Hata mwanza bado hakijaeleweka. Nasikia pesa zimehifadhiwa kwa aajili ya maandalizi ya kumpokea Obama na mkulu anajiandaa kumfuata muda wowote kuanzia sasa.
mbona serikali inawavunja moyo,mwalimu anafanya kazi kwenye mazingira magumu,mshahara wake kiduchu lakini mshahara huo huo unacheleweshwa bila hata maelezo yoyote,hivi kwa staili hii kutakuwa na elimu bora au bora elimu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.