Heshima mbele
Wanajamvi!
Ndugu zanguni poleni na kazi la kujiletea maisha bora kwa Ari mpya na
kasi zaidi kama FastJet alivotuhadaa.
Nipo mbele yenu kutaka niongezewe elimu juu ya mishahara,posho na
stahili nyinginezo ambazo madiwani wetu Tanzania hupokea kwa mwezi.
Hili linatokana na mshahara anaolipwa mbunge kuwa mkubwa ukijumlisha
posho zote kwa mwezi wanajikusanyia mil.7 sasa je Hawa wenzetu wanapokea
bei gani?
Nitanguliza shukrani!
Karibu wajuvi.