Mishahara mipya

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
298
250
Wakuu habar zenu
Hivi nyongeza ya mshahara kwa wafanyakaz Wa serikal bado haijajulikana asilimia ngapi?
 

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
1,867
2,000
Unawaza nyongeza badala ya kuwaza kujikwamua na kuachana na kutimikishwa?
Halafu humu watu wanawaza jinsi ya kuajiri watu. swala la nyongeza peleka kwa juwaa la wafanya kazi.
 

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,817
2,000
Bado tunahakiki. Hata hivyo si uliambiwa kuna nyongeza ya mwaka!!!!
 

wisdom empire

JF-Expert Member
May 5, 2017
342
500
tunamalizia kujaza pesa ktk account za kampeni kwajili ya uchaguzi 2020 baada ya hapo msijali nyongeza tutawafikilia
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,602
2,000
Nyongeza ni 0%
Kupanda madaraja 0%
Uhamisho wa aina zote 0%
Malipo ya malimbikizo 00%

Hapa kazi tu, mtu asiyewajali wa nyumbani mwake hana tofauti na mchawi. Wafanyakazi wa umma ni kama watu wa nyumbani mwa rais.
Kabla ya tarehe 1 ya May nilitabiri kuwa mwaka wa fedha 2017/18 hakuna tena neema kwa watumishi wa umma mimi nikiwemo. Na Mei Mosi tukapata jibu zuri ingawa kuna watu bado hawajaelewa ile hotuba ya Magufuli.
Bajeti mmesomewa, nayo imeonyesha bila bila. Mnataka nini tena ili muelewe?
Kwakuwa rais ameshawajua watumishi wake, kwamba wengi ni 0.0005 IQ basi kaamua kuwazuga tena na uhakiki.
Uhakiki umeshaanza ila rasmi unaanza Julai.
Samahani ndugu, najua kuuliza ni haki yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom