J jopama Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6 Reaction score 1 May 3, 2014 #1 Naomba nikumbushwe watu wenye degree wanalipwaje katika Bank especially, NMB, NBC, Bank ya Posta, etc. Najua huu uzi ulishawahi kuwekwa humu ila naomba mnikumbushe tu waungwana.
Naomba nikumbushwe watu wenye degree wanalipwaje katika Bank especially, NMB, NBC, Bank ya Posta, etc. Najua huu uzi ulishawahi kuwekwa humu ila naomba mnikumbushe tu waungwana.
D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 225 May 3, 2014 #2 graduates wanaanza na tsh.245,000
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 May 4, 2014 #3 Haizidi laki 5,kwa yule anae anza kazi.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,606 Reaction score 47,083 May 4, 2014 #4 Kila benki wana viwango vyao. Ila ni kati ya 500,000 hadi 800,000/=.
MstahikiMeya JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 1,633 Reaction score 561 May 4, 2014 #5 abakorakamo said: graduates wanaanza na tsh.245,000 Click to expand... duh me form 4 napiga kazi hapa shopperz nakula jiwe 3...mbona benk wana bana hvo km nikwel bs duh,noma ssana na zle nyodo zao wakitu subirisha kwennye folen
abakorakamo said: graduates wanaanza na tsh.245,000 Click to expand... duh me form 4 napiga kazi hapa shopperz nakula jiwe 3...mbona benk wana bana hvo km nikwel bs duh,noma ssana na zle nyodo zao wakitu subirisha kwennye folen
Young murrah JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 415 Reaction score 460 May 4, 2014 #6 Sijuhi ila nahisi kilo 6 mpaka kilo 8 kulingana na kitengo kuna watu wanakula 2.5m
Stanboy JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,115 Reaction score 1,324 May 5, 2014 #7 Samaritan said: Kila benki wana viwango vyao. Ila ni kati ya 500,000 hadi 800,000/=. Click to expand... Mbona ni kidogo ukilinganisha na walimu graduate ambao inasemekana wana mishahara midogo!!
Samaritan said: Kila benki wana viwango vyao. Ila ni kati ya 500,000 hadi 800,000/=. Click to expand... Mbona ni kidogo ukilinganisha na walimu graduate ambao inasemekana wana mishahara midogo!!