Wadau Naibu wazir wa fedha yupo clouds fm antema cheche. Anasema ndani ya mwezi mmoja tu wamegundua mishahara hewa ya watu 14,000 sawa na sh 40bilion!
Mwigulu anaongeza kuwa endapo katiba itapita atawashawish wabunge watunge sheria kali dhidi ya wakwepa kodi na wabadhilifu wa kodi za walalahoi.
Akiri kuwa kuna uwezekano wa watu wezi kuwa huonga ili kushinda kesi ndo maana mara nyingi kesi za serikali hushindwa utadhani hawana mawakili. sababu kuu ni kwamba wahujumu ama watuhumiwa hawawekwi ndani kabla ya kesi kuanza.
Atoa mfano wa watu wenye majengo ya biashara maghorofa hawalipi kodi ila mamalishe ndo wanalipa.
Ama hakika Mwigulu ni mwanamapinduzi sema mfumo unambana!
Nawasirisha....