Misenyi, Kagera kumenoga

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 28 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya jimboni.

Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM kata ya Mushasha na kugawa vitendea kazi kwa Viongozi wa CCM Kata ikiwemo kalamu, karatasi (ream paper), bendera za chama, sare za wanachama, kwa viongozi wote wa kata na mipira ya miguu kwa matawi yote katika kata ya Mushasha.

Mhe. Florent Kyombo amefanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi wa kata ya Mushasha.

 
Akomae,2025,itakuwa patashika.
 
Huyu ndie picha zake zimebandikwa ukutani kama Rais na analazimisha watu kubandika Picha zake kwenye Ofisi na kutishia wasio fanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…