Misemo ya watu watu wa maisha ya chini

1.Mimi huyooo.
2.shoo shoo
3.takutoa kunde
4. Kama (y) wote
5. Kimazingira
 
"UDUGU KAZI" hapo ndo labda kakualika kwenye shughuli zake zisizokwisha ima hujenda au hujamtunza.
 
Waswahili bana
 
Mungu anasaidia,... kila mtoto huja na ridhiki yake,... Aliye juu mngoje chini, ... Mungu amenibariki watoto sita.... Na kadharika.
Hahaha nimecheka hiyo mungu amenibariki watoto sita
 
1. NILIKOTOKA NIMEAGA
2. UTAUZA HADI NGUO ZA NDANI MSIMU HUU
3. MSHENZI MALAYA WA BEI CHEE WEWE
4. UTAMALIZA VISIGINO KWA SAFARI YA UMBEA
5. SILI WALA SILALI MAPUANI KWAKO

Wadada bwana!!
hujaweka na vile vidole vya kusutana.
 
& Mtaka sifa haogopi hasara!
& Chezea mshahara sio kazi!
& Heri punda afe lakini mzigo ufike!
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi!!
& Samaki mkunje angali mbichi!
& Tutii sheria bila shuruti!!!
 
Jino unalo moja wanunua mswaki wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…