Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Walianza na halohaloooo, akaja na unalo babu weee,Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ,mara ghafla kantangazeee,
Haijakaa sana ikaja kansajiliii,Ikatokea nishiiiidaa,Imetoka mpya tena heh,heh!heeeh,MB zenyewe 8, nitakudownload unanini weweee.
Sijui itakayofuata itatamkwaje.
Haijakaa sana ikaja kansajiliii,Ikatokea nishiiiidaa,Imetoka mpya tena heh,heh!heeeh,MB zenyewe 8, nitakudownload unanini weweee.
Sijui itakayofuata itatamkwaje.