Mbundaereneus
Member
- Dec 3, 2019
- 38
- 10
Kuimba kupokezana,, sio kila tundu lazma ulichungulie,Nguvu kjjn mjin akili,kuchamba kwing utaondoka na mavi..
ondoka usemweJamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini.
1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua
2. Nenda kaseme tena
3. Gusa unate
4. Flag ya chuma
5. Masikini hafilisiki
CarMasela siku hizi hawaoi
Hakuna kumwonea aibu mama mkwe
Ukichanganya Ng'ombe na ndama utakosa maziwa
Usijezaa na Tapeli utaachiwa watoto kama zawadi
Mpemba anauza KKoo Mzaramo ana duka Unguja
Anaelipa Bili ndio anaanza Kunawa
Umuhimu wa mchuzi anaujua mwenye tonge kavu
Bahati ya mwenzio unataka iwe yako
Ukiwa nao Poa ukiondoka wanakusema
Ukiwa na Kazi majukumu yanaongezeka
Sisi wote masikini lakini tunachukiana
Ukikosea kuongela lugha ya mzungu asiyejua ndio anakukosoa
Nakung'oa meno alafu nakupa offer ya mswaki
Chungu lakini Dawa
Wakati wewe unatafuta Pesa wao wamelala
Hakuna Housegal Mgumba
Ukipanda baiskeli kitakacho kuzia usianguke ni kwenda mbele
Ukijikuna makalio usikate kucha kwa meno
Nitumie na ya Kutolea
Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni
Ukitaka kuishi kwa furaha punguza matarajio juu ya watu
Ukikosa hela unakuwa na hasira na kila kitu
Kipato cha Tajiri kipo kwa Maskini
Baada yamwanamke ogopo deni
Wanafiki hawakwepeki
Chako cha kudumu ni wema wako
Usitumie kichwa kama mfuko wa kubebea meno tu
Fundi hapewi Pesa yote hadi kazi iishe
Sio kila asiyekupenda anakuchukia
Mahali shetani hafiki anatuma mwanamke
Usipojifunza kukumbuka ulipotoka ipo siku utapotea unapokwenda
Sio kila mzee ana busara hata wajinga nao wanazeeka
Kama Adam na Eva walikula Apple na maisha iko hivi! Je wangekula Pilipili
Sijawahi kuona Tajiri akitolewa mapepo
Ni heri mlevi mstaarabu kuliko muumini mnafiki
Kutofanya uamuzi pia ni uamuzi
Mke wa maskini kuwadi mumewe
hii imetishaUkimwi kwetu ni kama mafua tuu..ugonjwa kwetu njaa.
Mganga Mungu
tulia uliwe