Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Unatoka kazini saa kumi ukijichanganya kidogo ukapitia sehemu mara moja kuja kurudi barabaran kumeshona hapo nyumbani kwako hesabu kwa unaingia saa nne au saatano.. basi wacha tule vibonzo kwenye foleni maneno ya dala dala yanatupunguzia stress. Kudanga sio kazi kazi kumpata mteja. Tupe na wewe message uliyo kutana nayo
IMG_0440.jpg

usiku
 
Nakumbuka kipindi hicho barabara ya Masasi - Tunduru ni vumbi/tope na ile ya barabara kuu kutoka Somanga- Nyamwage ni Vumbi
Kulikua na Mabasi ya WAHIDA Mfalme wa Barabara ya Dar- Tunduru
Sasa Mabasi haya walikua na Majina yameandikwa kule nyuma kwenye lapa yalikua yanafurahisha sana
Kuna
1. Dume jeuri
2. Unakataa Ugali?
3. Mikikimikiki
4. Astalavista
Halafu kulikua na Basi moja linaitwa AKIDA(ABS) linakwenda Newala limeandika HATA NAJUA?
Nouma sana kipindi hicho wakati barabara ni vumbi
 
Back
Top Bottom