K kindondindo JF-Expert Member Jul 8, 2013 503 149 Aug 21, 2014 #1,724 the locksman said: Toroka Uje Click to expand... jina la baa mtaani kwetu
K Kyvo Member Jan 11, 2012 47 13 Aug 22, 2014 #1,728 -hakuna bikira kwenye wodi ya wazazi -kunenepa wakati nakudai ni ishara ya dharau - jicheki usijeshindwa kutofautisha keki na ugali
-hakuna bikira kwenye wodi ya wazazi -kunenepa wakati nakudai ni ishara ya dharau - jicheki usijeshindwa kutofautisha keki na ugali
Mfarisayomtata JF-Expert Member Feb 2, 2012 474 188 Aug 22, 2014 #1,729 1."mzaha mzaha mbuzi kampanda mamaake" 2. Kula uliwe.
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 23, 2014 #1,730 kanzu bila kofia ni dela tu..
asrams JF-Expert Member Sep 4, 2011 4,799 2,645 Aug 23, 2014 #1,731 First Born said: kanzu bila kofia ni dela tu.. Click to expand... elimagnefico said: Hizi kaliiii Click to expand... Hahahahahahaha dah
First Born said: kanzu bila kofia ni dela tu.. Click to expand... elimagnefico said: Hizi kaliiii Click to expand... Hahahahahahaha dah
kalvin watson New Member Aug 24, 2014 2 0 Aug 24, 2014 #1,732 asrams said: Hahahahahahaha dah Click to expand... dah iyo nime like
R Ramadhan Chasigwe Member Aug 11, 2014 88 8 Aug 24, 2014 #1,734 1.Walimuua BABA ili nisisome. 2.Mchawi ndugu. 3.Wanga basi UKIMWI unatosha.. 4.Mimba utatoa UKIMWI je.?!
1.Walimuua BABA ili nisisome. 2.Mchawi ndugu. 3.Wanga basi UKIMWI unatosha.. 4.Mimba utatoa UKIMWI je.?!
Mfarisayomtata JF-Expert Member Feb 2, 2012 474 188 Aug 26, 2014 #1,739 Bibi yako mwanga kwenu umeme wa nini?