Misa za Wakristo Pakistan

Mbingu ipo kwa ajili yenu. Tangazeni Jina la Yesu popote hata Shetani akijitokeza kuwapinga kwa kuvaa dini fulani au kwa kupitia jamii fulani au watu fulani msikate tamaa.
 
Halafu hayo majitu yanasema eti yanaabudu amani, na bila haya yanalazimisha kanuni zake katika nchi za wengine bila kujali ushenzi wa kishetani yanayowafanyia wengine yakiwa kwao.

Pumbavu kabisa!
 
Sasa, mbona mnalipua zaidi MISIKITI?!! Na siku ya IJUMAA ndiyo inaongoza kwa matukio ya ULIPUAJI MABOMU YA KUJITOA MHANGA?!

Wiki iliyoisha wanawake wa Boko Haram waliua watu Msikitini. Hii dini inanishangaza sana! Sielewi..!
 
Siku yakiwa hivi Dar sijui itakuwaje. Siombi lakini naona ka ndo huko tunaelekezewa.
 
Leo nimeangalia documentary ya "he named me Malala" ni shida. It was very inspirational, unaweza jiuliza jinsi Watanzania tunavo take advantage kwa inchi yetu. Kuna nchi wanashida jamani, wanalia kwa uchungu na kusalia kwa uchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…