Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Kwaji miraa ni sumu?
Inauwa mzigo
Miraa inaliwa mpaka na mapolisi hivyo ni vigumu sana kudhibiti. Kuna kipindi polisi ndio wanasafirisha miraa kutoka namanga hadi ngaramtoni ambapo ndio kitovu chama ugawji wa miraa. Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya polisi ndio wahusika wahusika wakubw kwani wauza miraa wameweka viwango vya fedha vya kuwapa baada ya miraa kufika. Vituo vinavoongoza kufanikisha biashara hii ni Namanga polce station, longido, Oldonyo Sambu na Ngaramtoni.Kama ndio mara ya kwanza kufika Moshi au Arusha utashangaa sana, vijana wanakula majani kama mbuzi...Hatari sana kumbe sio majani ni Mirungi!!!
Huku polisi sio wakali kabisa juu ya utafunaji majani haya, na uuzaji wa mirungi maarufu kama "Miraa".
Na wauzaji wanafahamika na mitaa wanayouzia inafahamika. Ila hakuna mkono wa sheria juu yao.
Kwa wanaojua nini madhara ya matumizi ya mmea huu?? Na kisheria Tanzania inaruhusiwa kuliwa na kuuzwa??
Kama ndio mara ya kwanza kufika Moshi au Arusha utashangaa sana, vijana wanakula majani kama mbuzi...Hatari sana kumbe sio majani ni Mirungi!!!

Hamna. Inaleta stimu balaa
Hamna. Inaleta stimu balaa
Wenzetu wa Kenya mirungi aka MIRAA kwao ni zao la biashara kuna ndege maalum zinazosafirisha mirungi kwenda ulaya, america, china, pakistani, yemeni, saudia kwa mfano kuna ndege 3 zinapeleka mirungi JAMHURI YA WATU WA SOMALILAND, NA NYINGINE INAPELEKA SOMALIA, DJIBOUT. SISI TUMELALA TU NA MIRUNGI YETU INAYOPATINA KOROGWE, SAME NA LUSHOTO KAMA NASISI TUNGESAFIRSHA TUNGEPAT PESA NYINGI KWA WAKULIMA WETU WANO LIMA MAENEO YA MOMBO & SAME TANZANIA tuna product zuri sana, kama vile Shamba rungu, maua, hizi zingewasadia sana wananchi wa maeneo ya korogwe na same , mwanga, lushoto. Kuna watu wamekula hii kitu kwa miaka zaidi ya 70 na hawakupata madhari, stimu yake piya haimusiri mtu kwenye kazi zake
Gombaaaaa!!!! Hakuna kama gomba....Mleta mada sema hujawahi onja hii mambo....Unatafuna na Big G pembeni unasoda ya Sprite...Ni laana tupu..