Jully161 Lee
Member
- Jun 20, 2013
- 7
- 1
Jamani naomba mnisaidie, kati ya mirungi na kahawa kipi kina madhara zaidi kiafya?
Wanasema kahawa inakua active sana kwanzia saa moja asubuhi mpk saa tatu asubuhi baada ya hapo ukinywa inaleta matatizo japo huwez kuhisi mapema na mirungi hata uile saa ngapi yenyewe ina madhara tu ni kama vile ulize chips mayai na bia ipi ina madhara zaidi kiafya !Jamani naomba mnisaidie, kati ya mirungi na kahawa kipi kina madhara zaidi kiafya?