Hizi zote ni sim card zile zile sema zimekatwa ile plastiki extra ambayo haina kazi, so sim card yoyote inaweza kubadilishwa kuwa micro au nano kwa kuikata mwenyewe, unaweza kukata na mkasi au kutumia cutters maalumu ambazo zinapunguza uwezekano wa kukosea.