muhuni mpya JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 300 Reaction score 166 Jan 17, 2019 #1 Naombeni kwa wanaojua kuhusu hizi sheria za mirathi, Kama marehemu alikuwa mtumishi wa umma lakini alistaafu na kulipwa kiinua mgongo chake sasa hapa vipi baada ya kufariki familia yake hupewa chochote? Asanteni....
Naombeni kwa wanaojua kuhusu hizi sheria za mirathi, Kama marehemu alikuwa mtumishi wa umma lakini alistaafu na kulipwa kiinua mgongo chake sasa hapa vipi baada ya kufariki familia yake hupewa chochote? Asanteni....
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,125 Jan 17, 2019 #2 Ngoja tusubiri waje watuambie kuhusu fao la kifo cha mwanachama
muhuni mpya JF-Expert Member Joined Apr 28, 2018 Posts 300 Reaction score 166 Jan 17, 2019 Thread starter #3 Ahsante MKWEPA KODI said: Ngoja tusubiri waje watuambie kuhusu fao la kifo cha mwanachama Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante MKWEPA KODI said: Ngoja tusubiri waje watuambie kuhusu fao la kifo cha mwanachama Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app