yohana charles
Senior Member
- Mar 21, 2013
- 134
- 10
NHC ni shirika la kitaifa,inakuwaje mkoa au mji mmoja unakuwa na miradi ya mabilioni ya shilingi inayoendelea halafu miji mingine haina hata mradi mmoja?
Kuna maeneo kuna nyumba za NHC tena unakuta ni moja tu lakini inachukua miaka kukamilika wakati huko kwingine kunajengwa nyumba nyingi tena kwa muda mfupi tu.
Jamani kila mji/mkoa wanahitaji maendeleo.Fanyeni usawa katika kugawa hiyo miradi yenu,acheni kupendelea.!
Mm nahisi hawapendelei ila wanaangalia pale penye mzunguko wa pesa na watu we ye uwezo Wa kununua hizo nyumba.
Nyumba vyumba vitatu wanauza more than 45 million,alafu eti ni za bei nafuu kwa mfanyakazi wa hali ya chiniSio sahihi mkuu!Kama zimelenga hasa watumishi wa chini na kati, hawa wapo nchi nzima.Hata hvyo mzunguko wa hela popote unaletwa na uwepo miradi ya kimaendeleo.Makazi bora yanachochea kuchangamka kwa uchumi.
Hiyo miradi inatolewa kwa kuangalia ni kiongozi gani mkuu yuko paleSio sahihi mkuu!Kama zimelenga hasa watumishi wa chini na kati, hawa wapo nchi nzima.Hata hvyo mzunguko wa hela popote unaletwa na uwepo miradi ya kimaendeleo.Makazi bora yanachochea kuchangamka kwa uchumi.
Mm nahisi hawapendelei ila wanaangalia pale penye mzunguko wa pesa na watu we ye uwezo Wa kununua hizo nyumba.
Sio sahihi mkuu!Kama zimelenga hasa watumishi wa chini na kati, hawa wapo nchi nzima.Hata hvyo mzunguko wa hela popote unaletwa na uwepo miradi ya kimaendeleo.Makazi bora yanachochea kuchangamka kwa uchumi.