mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Kampuni za kijapan , KAJIMA na KANOIKE ndizo zilionekana bora miaka ya 90 katika kumudu kujenga barabara bora hapa tanzania. lakini leo hii ndizo zimeoonyesha udhaifu mkubwa katika kutekeleza miradi yake, Je, Kampuni hizi zimeishiwa mbinu na wataalamu? au Kwa kuwa tenda zote za barabara ni za msaada kutoka Japan? Hapa utaona kuwa barabara ya Mwenge to Tegeta imejengwa na KANOIKe kwa kiwango hafifu sana, hata mchoraji wa barabara hii hakuzingatia viwango vya kimataifa, wameshindwa kujenga daraja dogo la Goigi mbezi beach kona ya goba, maji yanavamia barabara mbaka haipitiki, sehemu hii ilikuwa ni miongoni mwa sehemu korofi lakini wameamua kupaacha mbali na kuona kuwa tatizo la pale ni la muda mrefu, Pia barabara ya kwenda mbagara iliyojengwa na KAJIMA nayo kila siku ni kurudiwa tu.
Japan kama wanatoa msaada wasitoe kwa masharti ya kuzipatia kampuni za kwao.