Miradi hii ni potential kwa uchumi wa Taifa ipewe kipaombele

Towashi wa 2

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
341
241
Wakuu salaam,

Kulikua na mpango wa kujenga reli ya kisasa kutoka bandari ya Tanga (Mwambani)-Moshi-Arusha to Musoma ambapo reli hii ilikua ijengwe kwa ajili kusafirisha nje ya nchi madini soda near lake natron ambayo ni valuable.Lakini pia ililenga ku function as an altenative Nothern Transport Corridor ikilenga logistics from Uganda na North Eastern DRC-Congo to rival the kenyan route.

Apart from this ulikuwepo mpango wa kujenga reli kutoka Liganga/Mchuchuma kwenye makaa na chuma iende hadi bandari ya Mtwara with branches to Songea and connection to TAZARA under Mtwara Corridor. Utekelezaji wa miradi hii umefikia wapi? Serikali iachane na mpango wa kutoa mil.50 kila kijiji/mtaa ambapo ni zaidi ya tri.3 over 5 yrz period.

Pesa hizo zingewekeza kwenye miradi hiyo ambayo ita unlock economic opportunities na ku kuza uchumi wetu huku na kuconsolidate our comperative and competitive advantage as the transport hub kuliko kutapanya rasilimali ziishie kujenga majosho na vyoo alafu mwenge uje kuzindua.
 
Back
Top Bottom