Mkuu title inasema majiji Tanzania na sio Dar pekee. Dar ni mwanzo tu, lazima tuanze na blue print.Kwa hiyo Tanzania Ni Dar peke yake?
Kila siku kuboresha Dar, Dar, Dar. Majiji mengine ndani ya TZ hayana uhalali WA kuboreshwa?
Yaani hata mimi nashangaa sana! Kuna miji mingi mizuri inahitaji maboresho kama Mwanza,Arusha na Mbeya!Kwa hiyo Tanzania Ni Dar peke yake?
Kila siku kuboresha Dar, Dar, Dar. Majiji mengine ndani ya TZ hayana uhalali WA kuboreshwa?
Mkuu, ungezungumza hoja yako kuhusu kupangilia kwa hiyo miji.Yaani hata mimi nashangaa sana! Kuna miji mingi mizuri inahitaji maboresho kama Mwanza,Arusha na Mbeya!
Mindset ya kipuuzi sana Dar hii imejengwa sana na serkali lakini hamna la maana mpaka leo!
Mimi nakubali mji wa shinyanga kwa mpangilo ile manispaa haina slams navichochoro kama dar na.miji.mingine barabara za mitaa zimenyooka kama ulayaHabari wakuu,
Mimi ni Mtanzania kindaki ndaki. Nimepata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa nje na ndani ya nchi. Hakuna jambo linanikera kama namna tunaishia kama mifugo katika nchi yetu. Ni kama tuko katika banda la wanyama. Hakuna mpangilio wala hakuna kiongozi yeyote anaezungumzia hilo
Ukiangalia tafiti za mashirika mbalimbali, Dar ni jiji litakalokua na watu wengi sana ifikapo 2030
Utafiti wa the citizen
Utafiti wa world bank
Nimeona nifungue hili jukwaa tuweze kujadili kwa undani, nini hasa kifanyike na pia ni viongozi gani tuweza kuwapata tujiunge na kufanya lobbying katika wizara husika
Tunafahamu nchi yetu ina shida ya ukwasi, hivyo mawazo yetu yawe ya kutumia resources chache na kuleta tofauti kubwa. Mpango huu utaweza kufanya makadirio ya maji na umeme (Wote tunajua shida ya junk electricity <umeme mdogo> tuliyonayo mtaani na pia shida ya maji)
Jiji la Dar kwa miaka 50 - 80 ijayo
Phase I (Upande wa juu wa Morogoro road. Kuanzia Ubungo - Saadani National Park)
Ushauri wangu utaanzia barabara ya mbezi - goba - Wazo hadi Saadani.
1. Bagamoyo - Kibaha - Chalince iwe ni part ya Dar
2. Katikati ya Mogorogo road na Bagamoyo road, serikali itenge Central Park (Amani Central Park) itakayo fika hadi mpakani mwa Saadani National Park. Amani park iwe na upana wa km 2 - 3
3. Kutengenezwa njia kuu 8 upande wa juu na wa chini wa amani central park
4. Upande wa juu na wa chini wa Amani, yaachwe maeneo kwa ajili ya biashara na makazi (skyscrapers)
5. Kila baada ya kiiomita kadhaa, kuwe na barabara za mitaa kugawanya maeneo ya makazi, biashara, buruadni, masoko, shule nk. Hii itakua ni mistatili. Kila mstatili utapatiwa makadirio ya maji na Umeme na kua maintained kwa urahisi
6. Barabara hizo kuu ziwe sio chini ya njia 4, huku za mitaa ziwe na njia 2 kila upande, hii bila kusahau lane za watembea kwa miguu, treni katikati na at least 2 lanes kila update for future use
7. Katikati ya Amani central Park, kuweke uwanja wa Matamasha ya jijini DSM
8. Mwisho wa Amani Park, itengenezwe Tanzanite Towers itakayo angalia Amani central Park & Saadani national Park
9. Utengenezwe uzio wa kuingia Saaadani na kisha maeneo hayo yawe ni prime kwa ajili ya the super rich
10. Maeneo ya umwagiliaji ruvu yabaki kama yalivyo
Nini tufanye kwa wenye viwanja + nyumba zao
1. Wenye maeneo sasa ivi, waandikishwe na watapewa viwanja baada ya eneo lote kupimwa
2. Walio na nyumba, baada ya zoezi la kupima kukamilika, watapewa nyumba standards katika maeneo yaliyopimwa
Makadirio ya Plan hii inaweza kuchukua miaka 5 - 8 hadi kukamilika
Karibuni tujadili wakuu
Sawa mkuu, viongozi wangeandaa mpango kujifunza kutoka Shinyanga.Mimi nakubali mji wa shinyanga kwa mpangilo ile manispaa haina slams navichochoro kama dar na.miji.mingine barabara za mitaa zimenyooka kama ulaya
Point ya 1 nilipendekeza hizo wilaya ziwe ndani ya Dar au hata zikiwa pwani, bado huo mpango unawza fanyika mkuuHuko ni Mkoa wa Pwani..
Title yako inaongelea majiji Tanzania hapa tena unasema Dar!Mkuu, ungezungumza hoja yako kuhusu kupangilia kwa hiyo miji.
Mimi sio mwenyeji wa Mwanza/Arusha/Mbeya. Nimezunguamzia sehemu ninapoishi.
Wakati mwingine badili mtizamo wako wakati unajibu hoja, sio kulalamika kila wakati
Mkuu title inasema majiji Tanzania na sio Dar pekee. Dar ni mwanzo tu, lazima tuanze na blue print.
Dar ndo jiji la kibiashara kwa sasa, sio rahisi kulipotezea
Dar imegeuka kama Mtoto mpendwa asiyetosheka kuhudumiwa. Majiji mengine kama Tanga na Mbeya yako hoi bin taaban kana kwamba Serikali haiusiki katika kuyafanyia maboresho.Title yako inaongelea majiji Tanzania hapa tena unasema Dar!
Dar hii ilishafanyiwa kila kitu na serkali ila bado ya hovyo tu kwa mimi wasijikite kuboresha miji mingine ili watu wahamie huko
Nchi ilojaa wajinga hii!Jamaa Ni mzushi Sana. Title na content ni mbingu na ardhi.
Dar imegeuka kama Mtoto mpendwa asiyetosheka kuhudumiwa. Majiji mengine kama Tanga na Mbeya yako hoi bin taaban kana kwamba Serikali haiusiki katika kuyafanyia maboresho.
Mimi naongelea upande wa.mpango mji yaani kule barabra huwa zinachongwa na manispaa hata kabla ya watu.kuanza makazi. Jaribu.kuzoom kwa google map afu ulinganishe na mikoa mingine..Sawa mkuu, viongozi wangeandaa mpango kujifunza kutoka Shinyanga.
Je kuna maeneo ya wazi ya kupumzika ? Viwanja vya michezo pia ?
Hao watu unaodai wanakuja Dar kwa sababu hakuna maboresho ya huduma!Dsm ndio Tanzania ilipo, mji kila kukicha watu wanaongezeka. Sio kwamba miji mingine haina hadhi ya kufanyiwa maboresho, bali first priority ni dsm. Emu niambie mji wa mbeya na tanga unauwekea flyover ili iweje sasa na wakat magari ni ya kuhesabika mkoa mzima.
Dar ndo nchi ilipo kwa mihemko tu! Ila ukiwaza kwa usahihi Dar haina cha kujitegemea yaani Dar bila mikoa mingine hakuna kitu hapo!Dsm ndio Tanzania ilipo, mji kila kukicha watu wanaongezeka. Sio kwamba miji mingine haina hadhi ya kufanyiwa maboresho, bali first priority ni dsm. Emu niambie mji wa mbeya na tanga unauwekea flyover ili iweje sasa na wakat magari ni ya kuhesabika mkoa mzima.
Uko sahihi, shida ya viongozi wetu hawana maono ya mbeleni, mji wa Dar miaka kumi ijayo utakuwa kama Lagos yani kutakuwa na nyomi la watu kama wasipoboresha maendeleo ya miji mingine. Tatzo ni kupata viongozi wenye maono na kujua kwamba watu wengi wanakimbilia dar wakiamini hii miji mingine haina fursa.Hao watu unaodai wanakuja Dar kwa sababu hakuna maboresho ya huduma!
Wewe unadhani miji kama Mwanza na Arusha ikiboreshwa mtu anaweza kutamani kuja Dar kufanya nini
Bwana haya maisha ukiangalio unaona kabisa Viongozi maono zero!Uko sahihi, shida ya viongozi wetu hawana maono ya mbeleni, mji wa Dar miaka kumi ijayo utakuwa kama Lagos yani kutakuwa na nyomi la watu kama wasipoboresha maendeleo ya miji mingine. Tatzo ni kupata viongozi wenye maono na kujua kwamba watu wengi wanakimbilia dar wakiamini hii miji mingine haina fursa.
Mkuu, jikite kuchangia mada kwamba mkoa uliopo uboreshwe kwa namna gani. Sio kulalamika tuDar ndo nchi ilipo kwa mihemko tu! Ila ukiwaza kwa usahihi Dar haina cha kujitegemea yaani Dar bila mikoa mingine hakuna kitu hapo!