Mmeliwa! Nyie lambeni yu hela za 'white hair' msepe. Hakuna urais hapa!
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
Labda ikulu ya Monduli lakini sio Tanzania
Lowassa sianatoka Kaskazini ..!!???
kumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo
kanda ya Magharibi Zitto Kabwe
kumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo
kumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo
Niunganishe mzee nishiriki kula kodi yanga nayo kata kila mwezi kwenye kamshahara kangu
kumbe?
Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo