Mioto ya aina tatu...

Kama kweli serikali ya awamu ya tano imeachana na madai ya $190b kwa kukubali malipo ya $300m tu basi ile ripoti ya professor Mruma ilikuwa professional rubbish.
 
Kama kweli serikali ya awamu ya tano imeachana na madai ya $190b kwa kukubali malipo ya $300m tu basi ile ripoti ya professor Mruma ilikuwa professional rubbish.
Wakati ni hakimu mzuri
 
Njoo ututake radhi katika Uzi wako Dr Shika ,kuwa ni jasusi
 
 
*Ameandika brother Bishop Benson Bagonza (PhD) lakini sjamuelewa*



TUAZIME TENA HEKIMA YA WANYAMBO

"Nyani asiyekomaa bado (mchanga), huangua kicheko aonapo msitu ukiteketea". Kwa uchanga wake huwa hajiulizi usiku atalala wapi?

"Mtoto mtundu aliyezoea kutukana watu wazima, huwa haishii kwa mmoja".

Tumesikia mengi ya sirini. Hatukupaswa kuyasikia. Nini kinafuata?

1. Wakimaliza ya kwenye simu, watahamia hospitali. Majipu yetu, damu zetu, mikojo yetu, mate yetu, na vinyesi vitaanikwa!

2. Mikopo yetu na bill za baa zisizolipwa zitajukikana. Usisahau mkopo wa nyama wa mwaka jana wakati sasa unakula kisamvu!

3. Toba zetu na vitubio havitakuwa siri tena maana vitaanikwa. Bajameni, acheni kuwasumbua kwa simu watubishaji wenu. Hawana uhakika tena wa kutunza mambo yenu.

4. Kama wana siri hizo, hata "password" za ATM hazina haja tena. Akiba zetu ni akiba zao. Kukwapua mikoba hakufai tena, watu wanachukua wanachopenda kwa kuwa wanamiliki siri zetu.

Bi Kidude hata kama hakuwa Mnyambo, aliwahi kusema "Kunambia siri kisha ukasema nisimwambie mtu, mie siwezi kwa sababu hata wewe umeshindwa kutunza ukaniambia mimi".

Tumejiruhusu kuona "uchi wa mama zetu", acha tupatwe na upofu!!
 
Inaweza kuwa ni dhana ...hata kama ina uelekeo na nguvu...
Lakini...
Master mind wa kile chama ana akili sana na sayansi ya siasa anaijua vizuri!

Nape ... mchezee mbali...
 
Inaweza kuwa ni dhana ...hata kama ina uelekeo na nguvu...
Lakini...
Master mind wa kile chama ana akili sana na sayansi ya siasa anaijua vizuri!

Nape ... mchezee mbali...
Huu mchezo bado wanasomana
 
Binadamu hajawahi kuishinda Dunia.
Muda utaongea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…