Minziro amewaita Chuji na Luhuende ..!

Minziro amewaita Chuji na Luhuende ..!

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
KOCHA JKT RUVU AWAITA CHUJI, LUHENDE: Kocha wa JKT Ruvu, Fred Felix Minziro amewaita kiungo mkabaji, Athumani Idd na David Luhuende kwenye kikosi chake.
 
Bora awaokoe la sivyo ndio basi tena ,awaite na wale waliotemwa simba
 
Akiwapata waliotemwa Coast kina Haruna Moshi na Nyosso na wale wa Simba na akifanikiwa kuwatuliza kitabia, JKT itakuwa balaa.
 
Akiwapata waliotemwa Coast kina Haruna Moshi na Nyosso na wale wa Simba na akifanikiwa kuwatuliza kitabia, JKT itakuwa balaa.

Nyoso ameshasajiliwa Bandari FC ya Kenya.
 
Back
Top Bottom