Msaada jamani hawa wadudu wananisumbua nakosa raha hata mood ya kufanya kazi sina nimetumia vidonge vya Alben lakini wapi. vinafanya kunitekenya kwenye Puru (sehemu ya haja kubwa) hata usingizi kupata imekuwa shida.
Msaada wenu unahitajika katika hili natanguliza shukrani.
msaada jamani hawa wadudu wananisumbua nakosa raha hata mood ya kufanya kazi sina nimetumia vidonge vya Alben lakini wapi. vinafanya kunitekenya kwenye Puru (sehem ya haja kubwa) hata usingizi kupata imekua shida msaada wenu unahitajika katika hili natanguliza shukrani....
Skia nakupa dawa utakuja kunishukuru. Nunua nanasi na kwa siku 5 usile chakula chochote kile zaidi ya nanasi na maji ya kunywa. Kula kwa wingi kadri uwezavyo hata kama ni mananasi 5 au zaidi kwa siku foe 5 days hakuna mnyoo utabaki tumboni
Mkubwa kamua maji ya limao 30 na twanga vitunguu swaumu punje 20 acha vikae siku 3 kisha anza kutumia vijiko 3 asubuhi,3 mchana na vitatu usiku hutaona mnyoo kwa tumbo lako
Kawaida minyoo wakitaga mayai na yakajibana hapo kwenye puru ndiyo huleta ishu ya muwasho. Albendazole au mebendazole kwa siku tatu huwa inamaliza tatizo. We ulitumiaje? Jaribu dozi kubwa ya albendazole 400mg mara tatu kwa siku kwa siku tatu.