Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,403 Reaction score 4,361 Jan 31, 2026 #1 Na ni kwa ajili ya nni? Kuna faida zozote za kufungua acc ya kawaida na hii minor acc? Ukiuza share hela zako wanakuwekea wap?? Maana hamna sehemu wamenidai benk acc
Na ni kwa ajili ya nni? Kuna faida zozote za kufungua acc ya kawaida na hii minor acc? Ukiuza share hela zako wanakuwekea wap?? Maana hamna sehemu wamenidai benk acc
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,923 Feb 1, 2026 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw