Mini laptop mpya inauzwa

Mini laptop mpya inauzwa

Drama.abk

Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
49
Reaction score
3
ASUS X101CH NOTEBOOK
2GB RAM
280GB HARD DISK DRIVE (HDD)
1.6GHz PROCESSOR
INAKUJA NA EXTERNAL FAN YAKE
BRAND NEW!!!

BEI NI 290,000/ (FIXED)
NIPO DAR ES SALAAM
Ni PM kama upo interersted
SERIOUS BUYERS ONLY
 
Oya sijakuelewa umesema inakuja na external fan yake?.ebu nieleweshe vizuri,,mie mteja

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kusema kweli kuelezea sitaweza vizuri ila unaweza ukaingia GOOGLE na Andika NOTEBOOK FANS na utaona nichomaanisha mkuu
 
ASUS X101CH NOTEBOOK
2GB RAM
280GB HARD DISK DRIVE (HDD)
1.6GHz PROCESSOR
INAKUJA NA EXTERNAL FAN YAKE
BRAND NEW!!!

BEI NI 290,000/ (FIXED)
NIPO DAR ES SALAAM
Ni PM kama upo interersted
SERIOUS BUYERS ONLY

Hiyo laptop ni mpya or used? Kam ni used ni bora useme ina mda gani na huwek picha ili tuweze jiridhisha nafsi zetu then tufanyebiashara
 
Mkuu ndo maana nimetoa jina na model ya hiyo laptop ili uingie GOOGLE na kuicheck. Nimeshindwa kuweka picha

tunataka picha ya hiyo mashine halis sio za kugoogle unataka utuingize mkengeniii
 
kwa nn usinirahisishie mie mteja kwa kuweka picha ya hyo device,customer care ni muhimu sana mkuu,huoni utakuwa unamsumbua mteja?,anyway,basi ungeweka link yenyewe kabisa angalau tungeweza kwenda huko,sasa wewe unaniambia niende google kwani hujui huko kila mtu anaweka mitakataka yake?
 
ASUS X101CH NOTEBOOK
2GB RAM
280GB HARD DISK DRIVE (HDD)
1.6GHz PROCESSOR
INAKUJA NA EXTERNAL FAN YAKE
BRAND NEW!!!

BEI NI 290,000/ (FIXED)
NIPO DAR ES SALAAM
Ni PM kama upo interersted
SERIOUS BUYERS ONLY

Ina operating system gani?
 
tunataka picha ya hiyo mashine halis sio za kugoogle unataka utuingize mkengeniii

Sina njaa ndugu yangu. Ndo maana nimesema SERIOUS BUYERS only. If you are interested Send me a PM. Utaiona kwanza ndo uamue mwenyewe kuchukua au la!
 
kwa nn usinirahisishie mie mteja kwa kuweka picha ya hyo device,customer care ni muhimu sana mkuu,huoni utakuwa unamsumbua mteja?,anyway,basi ungeweka link yenyewe kabisa angalau tungeweza kwenda huko,sasa wewe unaniambia niende google kwani hujui huko kila mtu anaweka mitakataka yake?

Nimekuelewa mkuu, sina Camera alafu simu yangu ya tochi ndo maana kuweka picha inakuwa ngumu mkuu. Ila unaweza kuiona hata kama hauna mpango wa kuinunua
 
Hiyo laptop ni mpya or used? Kam ni used ni bora useme ina mda gani na huwek picha ili tuweze jiridhisha nafsi zetu then tufanyebiashara

Kwanini niseme uongo mkuu, ni mpya kabisa mkuu. Haina hata Scratch
 
kwa nn usinirahisishie mie mteja kwa kuweka picha ya hyo device,customer care ni muhimu sana mkuu,huoni utakuwa unamsumbua mteja?,anyway,basi ungeweka link yenyewe kabisa angalau tungeweza kwenda huko,sasa wewe unaniambia niende google kwani hujui huko kila mtu anaweka mitakataka yake?
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Attachments

  • ASUS.jpg
    ASUS.jpg
    113 KB · Views: 89
Back
Top Bottom