Mini laptop is needed!

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Jaman wapendwa natafuta mini laptop ya 150,000/=. mwenye nayo au kama kuna mtu mwenye taarifa ya zinakopatikana kwa bei hiyo anijuze. itapendeza kama itapatikana kwa dar au dodoma,
 
Jaman wapendwa natafuta mini laptop ya 150,000/=. mwenye nayo au kama kuna mtu mwenye taarifa ya zinakopatikana kwa bei hiyo anijuze. itapendeza kama itapatikana kwa dar au dodoma,

Kuna Fujitsu na ipo vizuri kama upo tayari nitafute hapa: 0717577755. Ila housing yake haina imechubuka kiasi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…