Mineral Procesing and Extractive Metulugy

Mineral Procesing and Extractive Metulugy

The Inspire55

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
12
Reaction score
22
Habari zenu wajumbe,

Naomba kufahaam kuhusiana na kozi ya mineral proceesing and extractive metulugy katika fursa zake za ajira pamoja na namna gani unaweza kujiajili.

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Hakuna kozi mbaya..inategemea na malengo yako na passion yako kwenye hiyo kozi...suala la ajira kwa sasa hakuna uhakika 100% we soma upate skills zitakazo kusaidi kuendelea kupambana na umasikini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom