Mind your Spelling Mistakes

Niliandika vile kwa sababu nafasi ni ndogo isingetosha kuongeza herufi nyingine jamani mbona mi majilugha nayamanya tu
 
Mkiangalia vizuri huyo ni mtu binafsi "tenderer" aliyeomba kutoa huduma hapo na si Uongozi wa chuo. Mbona matangazo ya Chuo chenyewe yapo kwa mbele barabara ya shekilango sahihi kabisa bhana.

Kosa la mtu binafsi tusiamishie kwa Chuo kizima.
 
Niliandika vile kwa sababu nafasi ni ndogo isingetosha kuongeza herufi nyingine jamani mbona mi majilugha nayamanya tu
Unawatetea bure tu mshikaj wangu Mwana Mtoka Pabaya. Kama ni nafasi ndogo, basi angetumia maandishi madogo ili herufi zote zienee!Spelling mistakes za namna hii zimejaa. Kwenye mabasi kile kiboks cha huduma ya kwanza kinaandikwaga: FIST AID. Maduka ya vitabu nabahasha na kalamu wanaandika:STATIONARY. Yaani inakera mno aisee!
 
Last edited by a moderator:
Mkiangalia vizuri huyo ni mtu binafsi "tenderer" aliyeomba kutoa huduma hapo na si Uongozi wa chuo. Mbona matangazo ya Chuo chenyewe yapo kwa mbele barabara ya shekilango sahihi kabisa bhana.

Kosa la mtu binafsi tusiamishie kwa Chu kizima.
Mkuu kwani chuo hakihakiki kazi za wazabuni? hakioni kosa hilo? hata mwalimu akifundisha vice versa wataacha kwa kuwa ni kosa la mwalimu na sio chuo? chuo ni nini?...Taasisi ni pamoja na walimu ,wanafunzi na wanataaluma wengine
 
Hii Ni Kinondoni Hospital kwa Dk Mvungi

 
Resouce Center --------hata hapa imekataa, huenda angetumia kidadavuzi mpakato , nikiri tu kwamba mimi ni miongoni mwa wachapiaji wakubwa hapa jukwaani na huenda hata hii post nimechapia pahala ...no one is perfect lakini ikija kwa public ni changamoto kdg kama hivi
 
we all make mistakes as no one is perfect
Individually it is true. But when it comes into public kama hii ni vema ikarekebishwa
hapo hatumlaumu mchora maandishi.tunalaumu aliyempa draft,aliyehakiki kazi,aliyemlipa,aliyesimika bango na anayeona kila siku huku bango linamhusu lakini hachukui hatua kurekebisha
Kumbuka makosa madogomadogo yakiachiwa huzaa makubwa na madhara yake hayarudishiki nyuma ndio maana ndege ikiwa na hitilafu hata kama ni ndogo haitaruhusiwa kuruka na hata noti ikiwa na makosa ya uchapaji itaondolewa katika mzunguko.hivyohivyo dawa ikiwa na kasoro pia hupigwa marufuku na kuondolewa katika matumizi
 
Mkuu kwani chuo hakihakiki kazi za wazabuni? hakioni kosa hilo? hata mwalimu akifundisha vice versa wataacha kwa kuwa ni kosa la mwalimu na sio chuo? chuo ni nini?...Taasisi ni pamoja na walimu ,wanafunzi na wanataaluma wengine
Mkuu unazungumzia utolewaji bora wa taaluma, na hiyo ndiyo kazi ya uongozi wa chuo,kuhusu ubovu au uduni wa huduma za kuprint na photocopy hata wananchi wa nje ambao hawasomi kando kando ya hongera bar nao hutumia huduma hizo za stationery kama ni bora hata kama atakuwa amekosea kuandika bango bado wateja wataendelea kumiminika na kama ikitokea huduma ni mbovu hata kama bango litakuwa sahihi kwa kiwango cha juu bado wateja watakimbia tu.
 
Mkuu kwani chuo hakihakiki kazi za wazabuni? hakioni kosa hilo? hata mwalimu akifundisha vice versa wataacha kwa kuwa ni kosa la mwalimu na sio chuo? chuo ni nini?...Taasisi ni pamoja na walimu ,wanafunzi na wanataaluma wengine
Kazi za wazabuni kama hizo ni biashara binafsi inayofanywa ndani ya majengo ya chuo,kinachofanyika hapo ni kuona kama huduma zina tolewa kulingana na mkataba lakini sio kuhakiki mpaka huduma ya photocopy na barua anazoandikia na kuwaprintia wateja wake, nyinyi wateja ndiyo wa kumkosoa lakini sio kulaumu uongozi wa chuo kama huduma mbovu akikosa wateja atajirekebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…