Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
Hahaha na Sasa hivi tumeshaingia mpaka kwa waganga wa Kienyeji Tumetoa Muongozo wa Kutibu kwa kutumia Mitishamba au hujui!?..Ukweli unatisha sana.
Shida yangu kwako dokta ni yale madonge unayowapa watu kule hospitali, hivi unaona ni sawa au unatuchezea akili dokta wangu?
Dokta hizi GUIDELINES ndio zinawaingiza chaka.Hahaha na Sasa hivi tumeshaingia mpaka kwa waganga wa Kienyeji Tumetoa Muongozo wa Kutibu kwa kutumia Mitishamba au hujui!?..
😅😅
Kote kote tupo..asiye fata Kukiona cha mtema kuni 🤣🤣 ole wake mganga wa jadi asifate
View attachment 2929118
Kwa mfano hapo Mtu akija na Gauti Kwa mganga wa kienyeji Muongozi unasema awe amepimwa na majibu kweli yamekuja Uric zimezidi..
Anatakiwa kupewa dawa zifuatazo..
Sindu vijiko viwili unachanganya na maji anakunywa asubuhi na jioni kwa siku saba..
Au Manjano (Ile inafanana na Tangawizi) Vijiko viwili mara mbili kwa siku kwa siku 30
View attachment 2929120
Hizo sio zetu tumewapa Hao waganga wa kienyeji na wenyewe watibu kwa miongozo haiwezekani mwingine atumie mwarobaini huku mwingine atumie Madafu inatakiwa wote watibu kwa madafu au mwarobainiHizi GUIDELINES ndio zinawaingiza chaka.
🤣🤣🤣 ila kiukweli bora madafu kuliko yale masumu mnayowalisha watu huko hospitali.Hizo sio zetu tumewapa Hao waganga wa kienyeji na wenyewe watibu kwa miongozo haiwezekani mwingine atumie mwarobaini huku mwingine atumie Madafu inatakiwa wote watibu kwa madafu au mwarobaini
Ndyo dawa Zetu zinazotutibu🤣🤣🤣 ila kiukweli bora madafu kuliko yale masumu mnayowalisha watu huko hospitali.
Kwanza madafu yana vitamin c. Ninaweza kuyafakamia hata hamsini kwa siku 😋😋 Usiombe ukutane na yale yanayouzwa kwenye mkokoteni... ni unabugia hadi unavimbiwa 😋😋😋
Hivi dokta wewe huwa ukiumwa unameza yale matakataka?
Duuuhhh! Poleni kwa kweli.Ndyo dawa Zetu zinazotutibu
Miongozo inasemaje?
Tuondoe mkuu Mimi Niko tayariHYa ndo mambo Yangu BICHWA KOMWE - sema tu Muda mwingi huwa siyazungunzii kwa sababu nitawatisha watu na kuwakatisha tamaa ya kuishi..
Ukweli unatisha ,Ukweli unaumiza,Ukweli unaogopesha Na huwa natamani kuusema ila nahofia watu kuupokea..
Watu wamedanganywa kwenye Dini,Maisha ya kawaida wamewekewa Uongo wanaouona wao ni ukweli, Wametishwa sana..
Kuwaondoa huko Inakubidi kufanya Jitihada kubwa sana