Raia wa JF Member Joined Feb 29, 2012 Posts 27 Reaction score 0 Mar 1, 2012 Thread starter #21 BAGAH said: ukikua utaijua... hata ucwaze Click to expand... Kweli mkuu nakubaliana na wewe nikikua nitajua, mi namiaka 38 lakini mke wangu bado ananiita BABY.
BAGAH said: ukikua utaijua... hata ucwaze Click to expand... Kweli mkuu nakubaliana na wewe nikikua nitajua, mi namiaka 38 lakini mke wangu bado ananiita BABY.
Fekifeki JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 1,548 Reaction score 699 Mar 1, 2012 #22 Aisee chalii wangu! Kamuulize Dr. IZACK NDOD,I!!!!
georgebest Member Joined Feb 28, 2012 Posts 23 Reaction score 6 Mar 2, 2012 #23 Inakuletea cancer yaani unakua na possibility kubwa ya kupata cancer ya brain kasababu ya electromagnetic waves lakini usijali ni kama ukienda disco unarisk cancer ya masikio lakini kuna watu kidogo sana wanapata.
Inakuletea cancer yaani unakua na possibility kubwa ya kupata cancer ya brain kasababu ya electromagnetic waves lakini usijali ni kama ukienda disco unarisk cancer ya masikio lakini kuna watu kidogo sana wanapata.