Raia wa JF
Member
- Feb 29, 2012
- 27
- 0
Jenga tu mbona mijini kuna minara kibao na tunaishi....na km ni mionzi inaanza na cm uliyonayo
Aisee kuna utafiti unadai kuwa ile minara inasababisha walio karibu nayo kubambikiwa watoto.................
Ndhani umeelewa..............LOL
Faida ni 100% coz hutakaa upate tatizo la netwek
erick kumbe umeelewa aise...
maana ulikimbilia post ukijua ni ile minara unayoijua...lol
eti rais nyooooo!!!?.....
wewe nunua tu hakuna madhara yoyote.
MP.
mh!Kumbe kuna minara mingine?! ndio ipi hiyo? ......
Faida ni 100% coz hutakaa upate tatizo la netwek
Aisee kuna utafiti unadai kuwa ile minara inasababisha walio karibu nayo kubambikiwa watoto.................
Ndhani umeelewa..............LOL
Hivyo ndivyo wa2 wanavyosema atii. na hata ukitotolesha unatotolesha tahaira.
Kuna jirani yetu aliahidiwa mchongo aruhusu ujengwe mnara hapo kwake akakubali, tulimkalisha chini na kumtisha kuwa una madhara kwenye UANAUME, na jamaa anavyopenda UTUKUFU ikabidi akatae hiyo offer. Kubambikiwa watoto au kuzaa mataahira unafikiri mchezo!duu kwa hiyo ankoli mtambuzi ndio maana ukai karibu na minara kuogopa kubambikwa mtoto nini..