Minara ya simu je...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Minara ya simu je...?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbonea, Sep 29, 2009.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau, hivyi karibuni ndugu na jamaa zetu wamekuwa wakiathirika na hata kupoteza uhai wao kutokana na milipuko ya mabomu na hata mitungi ya gesi...

  Ningependa kufahamu, JE HAKUNA MADHARA YOYOTE KUWEKA MINARA YA SIMU KARIBU NA MAKAZI YA WATU?

  Nauliza kwa sababu hapa karibu na kwangu kumekuwa na mvutano kati ya jamaa aliyejitolea eneo lake kwa ajili ya kuweka mnara wa VODACOM na wananchi wa jirani wakipinga mnara huo kuwa karibu na makazi yao.


  Naomba mnisaidie ili mwenzenu nijue MADHARA au FAIDA ya mnara ule kuwa pale.

  AKSANTENI.
   
 2. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aisee! ina effect... kelele, mionzi...
   
 3. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usikubali, mionzi yake inaumuza sana hata swala zima la uzazi.
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tupe proof mzee ya research wapi ilipofanyika na matokeo yake!
   
 5. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwa kweli jambo hili ni bor tupate proper evidence
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Bado hakuna research iliyofanyika na kutoa majibu ya haya maswali yaliyopo, lakini according to science mionzi mingi ina madhara kwa afya ya binadamu, hivyo hatuhitaji evidence ndio tuondoe hii minara kwenye makazi ya watu.
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kubeba simu ya mkononi kuna madhara vilevile. Je? Tunaweza kuepuka kutumia simu!. Maendeleo yoyote yana madhara yake, muhimu ni kuangalia faida na hasara kipi kukubwa zaidi. Unapokataa usijengwe mnara eneo lako kwa kuogopa mionzi! Je hiyo simu unayobeba je Haina mionzi?
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  haina madhara yoyote kwa mpita njia. Ila inakuwa na madhara pale mtu anapoingia kwenye eneo la ndani au kupanda juu ya mnara na kukaaa karibu au mbele ya antena
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mbonea una watoto?
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Utakuwa kunguru sasa!! mpaka upande ukae mbele ya antena?
   
 11. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  hii minara ina madhara hata kama haijathibitishwa
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Haina madhara...kwa sasa labda baadae kama research zingine zitathibitishaa........ila kwa sasa hapana
   
 13. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  minara ina madhara makubwa hata kama haijathibitishwa
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Minara ina madhara hautakiwi (KUISHI!!!!) pembeni yake chini ya Mita 500...
   
 15. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu hebu someni habari hii ambayo nimeipata toka kwenye mtandao. Mimi mwenyewe kwa almost 15 years nimekuwa kwenye industry ya Telecommunications as a Microwave Engineer.

  Haya madhara yapo ingawa yanachukua muda mrefu kujitokeza, lakini yapo.
  Kuna vipengle saba vimeainishwa hapa katika utafiti unaoendelea kufanywa sehemu mbalimbali duniani. To be frankly speaking Minara ya simu na simu zenyewe za mkononi zina madhara kwa matumizi ya wanadamu. Huo ndiyo ukweli. Lakini kwasababu ya tamaa ya utajiri wa haraka haraka wa wana- adamu habari za madhara haya zinasemwa kichini chini ili kisiue biashara ya mitambo na simu za mkononi.

  Angalia kile anachosema Dr. Henry Lai kwenye kifungu cha mwisho(maandishi mekundu) wa maelezo haya ya mtandao.Kwamba makampuni haya ya biashara za simu yanajua ukweli wote kuhusu haya madhara lakini inapokuja kuweka mambo hadharani yanapata kigugumizi sawa tu na makampuni yanayofanya Biashara ya sigara. Wanajua kabisa kuwa watu wanakufa kutokana na kansa ya mapafu kwa kuvuta sigara lakini hawaachi kutengeneza sigara. Hii ndiyo dunia ya sasa, dunia ya kutafuta pesa kwa gharama yoyote bila kujali madhara yanayoweza kuwapata watu.

  Bila shaka wanaosoma msahafu wa Biblia watakubaliana nami kuwa haya mambo yalitabiriwa kuwa yangelitokea siku hizi za mwisho. Kuwa nyakati za mwisho zitakuwa nyakati za hatari watu watakuwa WENYE KUPENDA PESA KULIKO KUMPENDA MUNGU,WASIOWAPENDA WAKWAO means watu au wanadamu wenzao. That is the thing!!  Here are a few things to keep in mind about the health effects of microwave radiation:

  1. Effects at low levels can be more noticeable than at higher levels.
  The existence of a “window effect” is well documented, in which effects occur at certain frequencies and power densities but not at those immediately above or below them. However, it’s not as simple as just mapping these frequencies and power levels, because the local geomagnetic field and individual susceptibility also influence the result.
  Following are a few examples of the nonlinear nature of the effects, from Arthur Firstenberg’s book Microwaving Our Planet (see bottom of page for information). In each case, emphasis has been added:
  Firstenberg points out (p. 41) that “calcium ion efflux from brain tissue is extremely sensitive to irradiation with radiofrequency waves.” He cites four studies and a literature review. In particular, a 1986 study by Dutta et al. at 915 MHz and various exposure levels showed that “The effect at 0.0007 mW/g SAR [specific absorption rate] was quadruple the effect at 2.0 mW/g, in other words 3000 times the intensity had 4 times less of an effect under these particular conditions.” Looking at it the other way, an intensity three thousand times lower had an effect four times greater.
  Firstenberg describes a number of studies on microwave radiation and blood cells. In one, “Chiang et al. (1989) in their epidemiological study found that white blood cell phagocytosis was stimulated by chronic exposure to the lowest intensities of radio waves and inhibited, sometimes severely, by higher intensities. . . . Exposure levels ranged from 0–4 mW/cm2 to 120 mW/cm2.” (p. 22)
  In another study on blood, “These results were further refined by a 30-day experiment with guinea pigs at 1, 5, 10, and 50 mW/cm2 (Shandala and Vinogradov 197 .

  All these intensities increased complement in the blood and stimulated phagocytosis by neutrophils, but 1 mW/cm2 had the biggest effect, and 50 mW/cm2 the smallest effect.” (p. 23)
  The September 2000 newsletter of the Cellular Phone Taskforce, No Place To Hide, reported on some studies presented at the June 2000 European Parliament meeting on mobile phones and health. In one presentation, Dr. Lebrecht von Klitzing, of the Medical University of Lubeck, Germany, said, “Some people become ill at power densities of less than 10 nanowatts/cm2. . . . Small children are very sensitive to these emitters, down to field densities of 1 nanowatt/cm2.”
  Another article in the newsletter says that Dr. Leif Salford, of Lund University, Sweden, “had previously reported that short exposure to microwaves at 915 MHz damages the blood-brain barrier. . . . ‘The most remarkable observation in our studies,’ said Salford [at the conference], ‘is the fact that SAR values lower than 1 mW/kg give rise to a more pronounced albumin leakage than higher SAR values. . . . The situation that the weakest fields, according to our findings, are the biologically most effective, poses a major problem.’ ”

  2. Another effect independent of power level is resonance, which occurs at certain frequency ranges where the wavelength is near the size of a body part. An example is the 900 Mhz range, which has a wavelength of approximately one foot—a size that can cause resonance in a child’s head (because some of the radiation is absorbed, and the wavelength decreases). This intensifies the biological effect. Also, children’s skulls are thinner, so microwaves penetrate more easily. (Another problem is that children’s cells are dividing rapidly, which creates more chance for DNA damage. Their immune systems are not fully developed and can’t defend them against this.)
  3. Pulsed radiation, of the type produced by these meters, is more harmful at the cellular level than continuous-wave. The meters emit pulses twice in two seconds, although the interval is random.
  4. Studies are typically done for short exposure periods at higher intensities, because running studies longer costs more money. This allows the industry to claim that few studies have been done that show effects for long-term, low-level exposure and that “nonthermal” effects do not exist. But public health scientists point out that duration is also important, and long-term, low-level exposure can have equivalent effects.

  5. The effects of radiation are cumulative, in both senses. The meters add to the cumulative radiation as sources proliferate, and microwave radiation is cumulative in sense of increasing the body’s sensitivity over time. Research shows that test subjects don’t always recover completely and that subsequent exposures can cause effects at lower levels.

  6. There are no longer any control groups, because we are now exposed to so much radiation. Alasdair Phillips points out the problem in an email to the Roy Beavers list.An American epidemiologist, Dr Sam Milham, re-analysed Doll’s own data presented in his 1956 (Doll & Hill) paper which showed that heavy smokers were 23.7 times more likely to die from lung cancer than non-smokers. However when you compare the figures for heavy smokers vs light and moderate ones the ORs [odds ratios] fall to 3.5 and 1.9. When you compare light smokers with moderate ones you get an OR of only 1.8.
  Applying this concept to microwaves, there are no unexposed and few highly exposed subjects. So experimental results showing harm compared to a control group can be deceptively low—like comparing lung cancer in heavy smokers to light or moderate smokers rather than nonsmokers. This allows the industry to downplay the implications of health effects.

  7. Even in full studies, sometimes the abstract and/or conclusion may not accurately reflect the study’s data, especially if the industry was involved or the researcher is concerned about funding.
  For example, Kathleen Thurmond, M.D., in a 1999 talk, said,
  A study presented by Dr. Ross Adey at the 1996 annual meeting of the Bioelectromagnetics Society in Victoria, B.C., Canada, showed a decrease in the incidence of brain tumors in rats chronically exposed to digital cellular telephone fields. However, there was no mention in his sstudy of the increased incidence of spinal column tumors found in his research according to a reliable source. It would be standard scientific practice to at least note this finding regarding spinal column tumors. Dr. Ross Adey’s research funding by Motorola has now been terminated.
  Dr. Henry Lai was quoted in the London Times as saying, “They are asking me to change my whole interpretation of the findings in a way that would make them more favorable to the mobile phone industry. This is what happened in the tobacco industry. They had data in their hands but when it was not favorable they did not want to disclose it.”
   
 16. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mbonea

  Narudi kwako.

  Kulingana na maelezo ya mtandao tunaweza ku-conclude kwamba Minara ya Simu za mkononi ina madhara hasa inapojengwa karibu na maeneo ya makazi. Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi na Mjapani mmoja mtaalamu wa Micrwave nikmwuliza kule kwao hizi simu za mkononi zinatumika sana? Alichoniambia ni kuwa kwao wanatumia simu za mezani zaidi kuliko za mkononi. Kila myumba Japani utakuta ina waya za simu za mezani ukiingia wewe unapachika kichwa chako cha simu unaendelea kuongea.

  Ndiyo maana wanasema soko kubwa la simu za mkononi liko Afrika. Hapa ndipo watu wanapaswa kujiuliza kwanini soko kubwa liwe Afrika na siyo Ulaya, Marekani au Asia?
  Makampuni ya simu za mkononi yanaitumia Afirka kujinufaisha kwa kupata hela za chapchap. Mpaka Waafrika mtakapo shtuka mtakuwa mmechelewa na tayri mmesha athirika.

  Tatizo linalojitokeza kwa sasa hapa Tanzania ni umaskini na tamaa ambavo vinawafanya watu wakubali kujengewa minara kwenye maeneo yao ili wapate malipo yanayotolewa na hayo makampuni ya simu za mkononi.

  Kuchukua tahadhari kabla ya hatari ni jambo la msingi sana na ni heri kuzuia kuliko kuponya. Kama inawezekana usikae karibu na mnara wa simu za mkononi.

  Kuna mambo ya kuzingatia wakti unatumia simu yako ya mkononi.

  1.Unashauriwa kutumia mara chache na kwa muda mfupi kuongea na simu za mkononi.Pendelea kutumia message zaidi kuliko kuongea. Kumbuka unapoongea simu yako inatuma au kurusha nguvu kubwa(RF Power) hewani ili kuweza kuwasiliana na mnara wa simu(BTS) na hasa unapokuwa mbali na mnara.

  2.Unashauriwa mara kwa mara kutumia speaker/microphone au Hands free au earphones unapoongea na simu yako.

  3.Unashauriwa kuweka simu yako mara kwa mara mezani unapokuwa ofisini au nyumbani au kuishikilia mkononi hasa uwapo kwenye safari. Epuka kuweka simu yako kwenye mfuko wa shati au suruale kwasababu mionzi inayotoka humo inapiga moja kwa moja kwenye eneo ulipoweka simu yako.

  4. Usipende kutumia simu yako wakti ikiwa kwenye charge(umeme). Ikiwezekana zima kabisa wakti unaweka charge.

  5.Weka simu yako mbali na watoto hasa wachanga. Si busara kumweka mtoto/watoto karibu na simu za mkononi.

  6. Pendelea kutumia simu za mezani kama zile za TTCL unapokuwa kazini/ofisini au nyumbani kama unayo.
   
 17. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mionzi, hatari
   
 18. M

  Magezi JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ufisadi na ukiritimba wa TTCL na serikali ulisababisha watu wapende simu za mkononi. kitu kingine ni kwamba hakuna kitu cochote kisicho na madhara duniani, swala ni kiasi gani unatumia vitu hivi.

  Kusema ule ukweli mobile phones zimetuokoa wengo ktk kurahisisha mawasiliano afrika, hasa Tanzania ambako landlines zilikuwa bado kufika nchi nzima vijijini.
   
Loading...