M Mdogo ake the BOLD JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 548 Reaction score 965 Jul 3, 2020 #21 Nimepita hapo EGM 2009-2011 ni pazuri sana mazingira ya kusomea na lile pori tumesomea sana machakani kule ila fungus zilitutesa sana aisee...Jumamos kama kawaida kwenda kisarawe kucheza taarab na wamama wa kisarawe...ukikaa vbaya unapotea
Nimepita hapo EGM 2009-2011 ni pazuri sana mazingira ya kusomea na lile pori tumesomea sana machakani kule ila fungus zilitutesa sana aisee...Jumamos kama kawaida kwenda kisarawe kucheza taarab na wamama wa kisarawe...ukikaa vbaya unapotea