Samahani wana jf.nipeni nafasi ya kufanya masahihisho na kueleza vizuri.thr 3/12/2011 kutakuwa na kongamano la minaki na miaka 50 ya uhuru shuleni minaki kisarawe pwani.tunafanya mikakati ya kutafuta watoa mada mbalimbali na waandishi wa habari.tuna amini tanzania itajengwa na watanzania.wazee wetu kama prf balegu,malecela,tido na wote waliosoma minaki.nipe jina na sanduku la posta tukutumie official au e-mail. Wasiliana 0718180449 kwa maelezo zaidi ahsante