Nenda Freedom Communication, jengo la J-Mo, mtaa wa Samora karibu na Clock Tower. Nenda walau na 450,000/= utapata Samsung mini laptop nzuri, ila mimi nilibahatisha wakati wa offer kwa sh. 390,000/= yenye specification zote nzuri ikiwamo 2GB RAM na HDD yenye space ya kumwaga hata sihitaji kuchungulia. Specifications nyingine ni common tu kama webcam, Bluetooth, wireless etc