nimewauliza majirani zangu kama nyumba 12 wanasema kura zao ni kwa buldoza-tingatinga kiboko ya mafisadi dr jpj. Mag. Ila ubunge na udiwani ni kwa act-wazalendo
Jana tulipiga kura za maoni ofisini kwetu hapa airtel quality center tulikuwa wafanyakazi 388 .. kura zilizoharibika ni 3, magufuli alipata kura 4,lowasa alipata kura 381. Kwaio utaona jinsi gani lowasa anavyokubalika. Tutawapiga asubuhi mapema tu.