Mimi siyo yule tena

hahaha
 
Kaka hiyo kitu hainaga makombo, alafu sharing is caring, unataka vitu vitamu ule peke yako? naona umeamua kupishana na utamu.
 
wakati mwingine inatulazimu kuchukua maamuzi magumu hata kama hupendi kufanya hivyo
Akili sio nywele peke ake. Pole yake
Afadhali hata wewe umechukua maamuzi for the seek and better in you life,wengine wangekimbilia jf kuomba ushauri
 
Nice decision, na mimi wangu alivyorudi nilimpiga maombi ili apate mtu aliyesahihi ktk maisha tofauti na huyo aliyemdanganya akanikimbia coz mi tayari nilikuwa nisha move on, na nilikuwa ktk speed ya hatari.
 
Kuwa wewe sio yule tena haitoshi mkuu je na ndani ya moyo wako umuhitaji tena kwa sababu mapenzi ni kitu kingine bwana, unaweza kuta umefanyiwa vitimbi vyote hivyo ila mwisho wa siku unasahahu kabisa.
Ndani ya moyo wangu nampenda ila siwezi kuendelea nae tena amenijeruhi sana
 
Alijua kapata kumbe kapatikana, huyo mchizi asingekua muongo asingerudi kwako i hate watu wanaorudi pale walipopadharau baada ya kutendwa
Hawa wadaa kuna vitu vidogo sana wanakosea mkuu ambavyo vinawacost baadae
 
Pole mkuu...Vipi mliendeleaje??
 
wanawake wengine kazi kwelikweli aisee...Punguzeni Tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…