Mimi sio Rais Dhaifu-JK

unaonyesha jinsi gani IT imekupiga chenga,tukuwekee picha yako hapo au tukuedit hizo tarakimu?

hujui unachoongea unakurupuka tu kama unaopga nje...huyo ndo rais anayejiita sio dhaifu hata kusoma halijui
 

mammbo mengine tunamuonea JK...we unategemea nini kwa mwanafunzi aliyehitimu chuo na akapata GPA ya 2.3??? kwa maneno rahisi huyu ni mediocre student...therefore dont expect him to be bright throughout maisha yake yote
 
JK Ni Kiongozi dhaifu mno, Legelege, Goigoi.Nchi ka vile hakuna rais, Wageni wanatamba nchini kwetu,kwenye nchi zao tunanyanyaswa sana, wakiwa kwetu sisi vikaragosi na kwao hivyo hivyo, Viongozi kazi yao kuchukua pesa yao na kutukandamiza sisi raia. Wageni wanakunja hela ndefu kwenye kazi ambazo raia wanaweza kufanya, Raia wanalipwa pesa kidogo, Serikali haijali kitu chochote. Sasa anafanya nini magogoni?? Polisi wanaua raia !!! kweli kuna Rais Hapa???
 
 
Kama uongozi wa nchi ni wa aina ya huyu anyejiita siyo dhaifu,du hata mwanangu wa
darasa la sita anaweza kuongoza nchi ya Tanzania.
 
Kweli nyani haoni kundule. Hata mwenda... Zimu huwa anawaita wenye akili vichaa. Anapaswa kuelewa lisemwalo ndilo na hawezi kujitathmini mwenyewe.
 

Mzee hayo sio maamuzi kwa manufaa ya nchi anayoyasema? Au hujamuelewa Prezidaa JK? Hata Nyoshi El_Saadat ni Prezidaa pia!
 
Yapo maamuz magumu aloyafanya ndo maana anasema ye c DHAIFU,me nayakumbuka yafuatayo
-KUIBEMBELEZA BAE WAKAT WA KUDAI CHENJ YETU YA RADA,
-KUWABEMBELEZA WEZI WA EPA WAREJESHE PESA,
-KUWAJUA WAUZA WA UNGA Manguli TANGU 2006
-KUWAAMBIA WATOTO WA KIKE WASIWE NA VIHEREHERE,
-KUSEMA KUWA YE SI DHAIFU pia ni ukomavu,
MENGINE ME NIMEYASAHAU
 
mammbo mengine tunamuonea JK...we unategemea nini kwa mwanafunzi aliyehitimu chuo na akapata GPA ya 2.3??? kwa maneno rahisi huyu ni mediocre student...therefore dont expect him to be bright throughout maisha yake yote

kuna wadau wanaiita GPa ya JK
 
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai, na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu, ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.

Sosi: NIPASHE
Majibu ya kisiasa kwa manufaa binafsi.
 
mammbo mengine tunamuonea JK...we unategemea nini kwa mwanafunzi aliyehitimu chuo na akapata GPA ya 2.3??? kwa maneno rahisi huyu ni mediocre student...therefore dont expect him to be bright throughout maisha yake yote

sasa ndugu yangu unafikiri kila apataye GPA ya 4.9 ndio ana akili? uwezo wa mtu wa akili na utendaji haupimwi kwa GPA.wengine hupewa tu hizo, na wengine hubaniwa na hali wanastahili.
kwa jk upimwaji wake wa kutokuwa na maamuzi hutokana na matendo yake na sababu zaweza kuwa nyingi .
 
udhaifu wa jk unaweza kutokana na
ushikaji
usanii,
siasa,
woga,
ubinasfi,
urafiki na kulindana kusiko na maana.
 
Ni udhaifu gani anaohisi watu wanadai anao? udhaifu wa madem?, wa maamuzi?, wa msimamo, wa afya, n.k naona ange-specify angenisaidia mimi great thinker ningetoa maoni stahili.
 
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai, na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu, ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa.

Sosi: NIPASHE

Wana JF,

Kwani kipimo ja utendaji kazi wako ni maneno au vitendooooo? Vitendo ndio kipimo bora cha kujua uongozi wako ukoje either umefanya pumba au madudu au vyema ni vitendo tuuuuuu.


 
Naogopa kupigwa ban maana nilisha andika kitu kuhusu huyu mkweree nikaishia kula ban ya wiki tatu....

Mkuu kumbe na wewe ulinifanana?

Nami niliwahi kumkoromea humu JF jamaa wakanitandika Ban ya wiki tatu ndo nimerudi jana!

Hawa Mods nao naomba tuheshimiane bwana!! Jamaa anatutia hasira sana huyu Mkwe're wenu! Tuatachaje Kumkoromea?

Ila uongo mbaya hii jela ya Mods siyo njema sana wazee, inanyanyasa sana!!
 

hiyo red sijaelewa kama nayo ni hoja ??? Great thinker ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…