mimi simo

hahhahahah....ametulia kama ananyolewa kudadadeki....YANGA IZ A BIG LIBOLO
 
Hahaha una mahaba na Simba SC?

Saana yaaani, toka jana sili vizuri. Chakula hakipiti kwa maumivu. Afu bado huku nako wanapigilia msumari wa moto.......Kwa kweli ngumu kumeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…