Mimi simo.

Masoud kamaua kuweka kucha zake rehani huyu mzee alishamwambia anamchora vibaya anazidisha komo na kidevu bt hasikii iko siku cha chato kikimkolea hamna rangi atakayo iona
 
Masoud kamzoea sana Rais Magu ila iko cku yake atafanywa km roma
 
Hicho kichwa ka gobole hahahaahhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna jamaa yangu alikosa kazi ya police sababu ya bichwa kama hilo kofia ilikua haimtoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…