Wewe haujanikosea hataaaa! Ila huyoooo aliyejifanya hataki kupanda fastijeti wakati wengine tunaota kuipanda deile, mwisho akasababisha uwe hivyo ulivyo sasa, nilipewa kazi na ICHANA do you remember? Alafu hata Evelyn Salt aliliona hilo ujue?