Je, hii Hali ni ya kawaida au?
😁😁😁Inawezekana una kipaji cha utapeli kama mwamposa ingia kazini
you will turn to ashes, if she dares to do so 🤣Aiseeh! Naomba uniangalie tafadhali.
What if we lock you in a room with "aunty" ...what's gonna go down?you will turn to ashes, if she dares to do so 🤣
Kuna huyu mbunge aliyeleta wazo la tozo kwenye simu. Najua alikuudhi. Hebu sema neno baya limtokee.Habari JF members..
Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.
Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.
Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.
Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.
Je, hii Hali ni ya kawaida au?
Ukifungua kanisa utapiga sana hela MkuuHabari JF members..
Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.
Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.
Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.
Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.
Je, hii Hali ni ya kawaida au?
Ebu watag watu unaohisi watavuta humuHabari JF members..