Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 23, 2016 #1 Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni
Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni
G gambagumu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,337 Reaction score 3,157 Apr 23, 2016 #2 Togola mbwanga
Aurora JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 7,308 Reaction score 5,275 Apr 23, 2016 #3 Jitambulishe vizuri kwanza ndipo tukukaribishe wewe inatokea pande gani ya kenya?Nakuru,kisumu,Eldoreti au Mombasa?
Jitambulishe vizuri kwanza ndipo tukukaribishe wewe inatokea pande gani ya kenya?Nakuru,kisumu,Eldoreti au Mombasa?
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 23, 2016 Thread starter #4 Mimi natokea Lodwar, Riftvalley
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,546 Apr 23, 2016 #5 Karibu sana, ni chama gani cha siasa kinakuvutia nchini Tanzania?
Voice Of Zigua Member Joined Apr 22, 2016 Posts 37 Reaction score 4 Apr 23, 2016 Thread starter #6 CCM na wewe je?
Joweba Senior Member Joined Aug 13, 2015 Posts 166 Reaction score 87 Apr 23, 2016 #7 Mkuu karbu sana, jisikie upo geto kwako, ila sasa vp nlkuwa nahtaji demu wa ki-Kenya naweza pata?
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,756 Reaction score 2,054 Apr 23, 2016 #8 Karibu jukwaani.
T Tate Shebughe JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 324 Reaction score 265 Apr 24, 2016 #9 Kwani wilaya ya Handeni kuna eneo linaitwa kenya? karibu sana na hakikisha wazigua wote wanajivunia uwepo wako humu jf.
Kwani wilaya ya Handeni kuna eneo linaitwa kenya? karibu sana na hakikisha wazigua wote wanajivunia uwepo wako humu jf.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 Apr 27, 2016 #10 krb sana JF..............
Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,210 Apr 27, 2016 #11 Voice Of Zigua said: CCM na wewe je? Click to expand... Karibu jinsia yako ni kama unavyoonekana katika picha
Voice Of Zigua said: CCM na wewe je? Click to expand... Karibu jinsia yako ni kama unavyoonekana katika picha
bbc JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 3,836 Reaction score 4,152 May 3, 2016 #12 Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Tafuta pahala uketi.
Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Tafuta pahala uketi.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,110 Reaction score 2,628 May 7, 2016 #13 Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Karibu JF
Voice Of Zigua said: Mimi ni mwanachama mpya wa JF kutoka Kenya hivyo basi naomba mnikaribishe kwenye jukwaa hii. Asanteni Click to expand... Karibu JF