Mimi ni mtu ambaye huwa naona mbali sana

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Mwaka 2021 nilipost uzi fulani hapa kuwa kwa jinsi ninavyo ona Fiston Mayele wa Yanga na nyota yake kuna uwezekano mkubwa Fiston kuwa mchezaji maarufu na hatari zaidi Africa mzima.

Watu walibisha sana nikatukanwa, wengine wakasema mimi siyo Manara au Kikwete kwa hiyo sina akili, lakini kadiri siku zinavyozidi kusogea nilichokisema kinaenda na kutimia pole pole.

Kwasasa Fiston Mayele sio maarufu Tanzania tu, kwasasa ni Africa. Hakuna page yeyote Africa ambayo hawapost habari za Fiston Mayele. Nenda kwa Waarabu ni Fiston na ukibisha nakupeleka kwenye page zao.

Kwa Wafaransa ni Fiston kwa wangereza ni Fiston! Mpaka kwasasa imefika hatua Fiston Mayele kulinganishwa na wachezaji wa Ulaya.
 
Anayeruhusiwa kubisha huu uzi ni yule ambaye timu yake haijafungwa na Mayele
 
Attachments

  • Yele15.jpeg
    Yele15.jpeg
    91.6 KB · Views: 4
Huyo mchezaji anayeongelewa Dunia nzima,sasa hivi anacheza club gani kubwa Duniani? au yupo kwenye ligi gani kubwa Duniani?

Nauliza tu ili nijue.
 
Huyo mchezaji anayeongelewa Dunia nzima,sasa hivi anacheza club gani kubwa Duniani? au yupo kwenye ligi gani kubwa Duniani?

Nauliza tu ili nijue.
Waulize wale wanao mpost kila siku kwenye page zao Watakupa majibu halisi
 
Waulize wale wanao mpost kila siku kwenye page zao Watakupa majibu halisi
Mkuu embu jaribu kuweka viambatanisho vya uingereza, ufaransa na warabu wakiwa wanamuongelea Fiston Kalala Mayele ili kunogesha uzi wako
 
Huyu ni mchezaji ambae anambwembwe nyingi ila kihuharisia ni debe tupu nipe list ya wanaongoza kwa ufangaji wa magoal hapa kwenye lig yetu? Kwa sasa chaajab hizi kelele zinakua nyingi afu mwisho wa msim anaishiwa kupewa Ng'ombe tu
 
Nyota ndugu yangu mayele ana nyota
Ni kama diamond hata apige wimbo mbaya vipi utapendwa zaidi ya yule aliye piga nzuri

Fiston amefanya kwasasa yanga kuwa maarufu africa mzima
 
Kutokutambuliwa na timu ya taifa sio kigezo cha kusema fiston sio bora ila kwasasa Kongo hawana namba 9 bora zaidi ya fiston mayele
Kama hawana 9 bora mbna haanzi waLa kuitwa usikaTae ni mbovu2 bora katika Lig yetu kwa akiLii yako una dhan kabisa mayeLe awaweke bench watu wanachezea mbeLee tumia akiLii bhaS
 
Kama hawana 9 bora mbna haanzi waLa kuitwa usikaTae ni mbovu2 bora katika Lig yetu kwa akiLii yako una dhan kabisa mayeLe awaweke bench watu wanachezea mbeLee tumia akiLii bhaS
Bora katika league kwani kwenye league yako hakuwa bora
Mayele sio kwamba ufungaji ameanzia Tz toka Kongo unafikiri kufunga goli zaidi ya ndani ya League ya Kongo ni kazi ndogo?
 
Huyu ni mchezaji ambae anambwembwe nyingi ila kihuharisia ni debe tupu nipe list ya wanaongoza kwa ufangaji wa magoal hapa kwenye lig yetu? Kwa sasa chaajab hizi kelele zinakua nyingi afu mwisho wa msim anaishiwa kupewa Ng'ombe tu
Kajifunze kuandika
Kiuhalisia✓
Kihuharisia X
Kolo mnapata tabu sana na bado
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom