ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
mimi nina miaka 39 sina girlfriend ila nawakaza watoto wazuri daily..kwani lazima uwe na gf?
Niko above that age na sina mchumba wala demu na sina tatizo vile vile! It's all about being available for it... no offense!28 -33 mwanaume aliyesingle hana mchumba?? jihadhari nae atakua na matatizo uyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]weka picha kwanza tukuone isije ikawa una sura ya chuo kikuu!
28 -33 mwanaume aliyesingle hana mchumba?? jihadhari nae atakua na matatizo uyo
Wa kustarehe hawezi kukosa ishu wa kuoa ndo inakuwa ishu hasa ukitaka wasomi na wenye kazi ndo ishu.Samahani mkuu mie sijakutaja wewe lakini! kwahiyo huna hatagirlfriend?? ni tatizo
Wa kustarehe hawezi kukosa ishu wa kuoa ndo inakuwa ishu hasa ukitaka wasomi na wenye kazi ndo ishu.
Kwani unaouza nao mihogo hawakufai mkuuSamahani nimechelewa kufika, mi Niko huku tandahimba nauza mihogo. Naweza kukuowa
Mkuu naona unamakusidi kama yule NSKwani unaouza nao mihogo hawakufai mkuu
wapo wengi tuuu
Mambo..Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please