Mungu akusimamie kwenye safari yako ya kuonesha kipaji na kufanya kile ukipendacho. Katika kipindi hiki cha COVID 19 ambapo shughuli nyingi za burudani na matamasha ni kama zimezorota na msisitizo mkubwa ni kwenye kukaa nyumba, huu ndio ushauri wangu
Ushauri:
- Pamoja na mengine yote unayofanya, unaweza pia kuanzisha akaunti za mitandao ya kijamii, ukashirikisha watu, ukaweka na demo zako ili watu wengi zaidi waweze kukuona na kuona kipaji chako. Muda mwingine kuona ni kuamini ....
- Unaweza anza na Twitter, Instagram etc
Otherwise, you right very humble and I just wish you nothing but the best