Kwa nn uandikie mate? Hebu anzisha thread inayosema "Lowassa kuanguka vibaya October 25" au "Mbowe ni janga la kitaifa" halafu usikilizie muziki wake. Halafu anzisha nyingine mf. Magufuli Chalii... Utaitwa kamanda na kusifiwa balaa. Karibu sana JF hii mpya iliyojaa unafiki, uchumia tumbo, udikteta na uadui.