Mimi ni mpole na ni mtu wa kukubali yaishe, marafiki wengi wamenidhulumu!

Kweli. Kwa gazeti lote hili tayar anaonekana mwongeaji sana
Kwenye huu uzi ndio utamkuta huyo anayejiita chaupole anavyochongoa mdomo kama chuchunge


 
Mimi ni keyboard warrior tu msinionee kabisa jamani.
 
Wewe huna tatizo lolote ni maisha tu umejichagulia kuishi. Nakushauri, endelea kuwakopesha na kuwadai usiwadai, wakija na shida zingine pia endelea kuwakopesha. Yani ww wakopeshe tu ivo ivo na wala usiwadai.
Maisha unajichagulia mwenyew kuyaish alaf unakuja kulalamika apa. We wakopeshe tu
 
Jamani hadi nimehisi huruma 🥲
Haya turudi kwenye mada yako, shida ni upole au shida ni hulipwi madeni?
Yaani sielewi kabisa jamii hasa marafiki na watu wanaonizunguka wananichukuliaje. Sitaki wanilipe hela nimeshasamehe, ila najiuliza wananionaje? Why nafanyiwa haya mimi tu?
 
Pamoja na mengine una tatizo la kutaka kupendwa / kumridhisha kila mtu, jambo ambalo halipo hata siku moja! Ndiyo maana huwezi dai sababu unahisi "atanionaje". Pia unauoga wa kupoteza watu. Inawezekana ikawa ni issue ya kisaikolojia hasa kutokana na malezi au wazazi kutokua around mara nyingi au ukali flani uliopelekea kuwa hivyo. Ni assumptions tu.
Ila kwa kukushauri tafuta vitabu on how to be assertive na kuwa alpha male. Kusema hapana mara nyingi huwa na nguvu na bora kuliko kusema ndiyo huku jambo ulilokubali linakuumiza. Usihangaike ku please everyone
 
Sasa ningekuwa nimejichagulia basi ningeamua kuyaacha na ingekuwa rahisi. Sasa why siachi mpaka sasa? Kwa nini?
 
Ahsante kaka yangu
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…