Ally maliki Member Joined Sep 3, 2019 Posts 10 Reaction score 6 Oct 8, 2019 #1 Habari wakuu, Mimi huwa napenda sana kufuatilia mijadala yenu na hoja zenu kupitia google na najilaumu ni kwanini muda wote huo sikuwa member wa JF. Tupo pamoja na samahani kwa nilichoposti hapo mwanzo nahitaji mwanga zaidi. Asanteni
Habari wakuu, Mimi huwa napenda sana kufuatilia mijadala yenu na hoja zenu kupitia google na najilaumu ni kwanini muda wote huo sikuwa member wa JF. Tupo pamoja na samahani kwa nilichoposti hapo mwanzo nahitaji mwanga zaidi. Asanteni
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,880 Reaction score 13,872 Oct 8, 2019 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,449 Reaction score 110,222 Oct 8, 2019 #3 Ally maliki said: Basi usikeni na ivyo vcha vua habari vya hao walio nitangulia hapo juu na mm ni ivyo ivyo wakuu Click to expand... Hivi upo serious mkuu? Nakupa u moderator kabisa
Ally maliki said: Basi usikeni na ivyo vcha vua habari vya hao walio nitangulia hapo juu na mm ni ivyo ivyo wakuu Click to expand... Hivi upo serious mkuu? Nakupa u moderator kabisa
Ally maliki Member Joined Sep 3, 2019 Posts 10 Reaction score 6 Oct 8, 2019 Thread starter #4 Serous mkuu tupo pamoja Da'Vinci said: Hivi upo serious mkuu? Nakupa u moderator kabisa Click to expand...
Serous mkuu tupo pamoja Da'Vinci said: Hivi upo serious mkuu? Nakupa u moderator kabisa Click to expand...
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,950 Reaction score 136,720 Oct 8, 2019 #5 Karibu sana JF. Ila ujitahidi kuandika vizuri tafadhali, ili usije ukafungiwa maisha kujihusisha na JF. Sawa?
Karibu sana JF. Ila ujitahidi kuandika vizuri tafadhali, ili usije ukafungiwa maisha kujihusisha na JF. Sawa?
Kobaba JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 492 Reaction score 344 Oct 8, 2019 #6 Ally maliki said: Basi usikeni na ivyo vcha vua habari vya hao walio nitangulia hapo juu na mm ni ivyo ivyo wakuu Click to expand... Cheko n'lilolitoa sio la nchi hii, hadi naonekana kituko hapa nilipo. Mkuu acha utani bwana, hakiki ulichokiandika.😁😁😁😁😁😁
Ally maliki said: Basi usikeni na ivyo vcha vua habari vya hao walio nitangulia hapo juu na mm ni ivyo ivyo wakuu Click to expand... Cheko n'lilolitoa sio la nchi hii, hadi naonekana kituko hapa nilipo. Mkuu acha utani bwana, hakiki ulichokiandika.😁😁😁😁😁😁
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,488 Oct 9, 2019 #7 Ally umeoa?
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,582 Reaction score 16,287 Oct 9, 2019 #8 Ally maliki said: Samaan wakubwa Click to expand... Ni samahani mkuu siyo samaan Karibu sana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,170 Reaction score 111,097 Nov 11, 2019 #9 Karibu sana JamiiForums...